Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana kukawa na PMMkuu kwani walijiunga na jf ili waje kujibu sms!! ??? [emoji848] [emoji848]
Kama ni mwanamke wewe utakua mjeuri sana, na kama ni mwanaume utakua unapigo za kike
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida kubwa sana, huwa sijibiwi kabisa.Mpenzi kwani wewe unashida kujibiwa PM?
Sawa, limepita hilo.Mume wetu ni vizuri kama hawajibu, hatutaki mke wa tatu .
Huyo Mpenzi ndio mme wako?Mpenzi kwani wewe unashida kujibiwa PM?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demi wewe..umenifanya nicomment pasi kupenda..[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa: Mambo
Mie: poa
Jamaa: Uko poa?
Mie: yeah sijambo
Jamaa: Mambo yanaendaje lakini.
Mie: Yanaenda vizuri nashukuru
Jamaa: Niambie
Mie: Nipo tu sina mpya
Jamaa: Umevaa nini?
Mie: [emoji849] suruali na t-shirt
Jamaa: kwani kuna baridi? Natamani nije nikuvue
Mie: [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
***Kiukweli wengi ni pumba tu hawana la maana kila siku maswali hayo hayo , salamu inajirudia mara mia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma Sana
Ndio itabidi tujadiliane sijui tunatoka vpNoma Sana
Tunafanyaje Sasa Mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demi wewe..umenifanya nicomment pasi kupenda..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello mdada....mambo yako ikoje.Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.
Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.