Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Jamaa: Mambo

Mie: poa

Jamaa: Uko poa?

Mie: yeah sijambo

Jamaa: Mambo yanaendaje lakini.

Mie: Yanaenda vizuri nashukuru

Jamaa: Niambie

Mie: Nipo tu sina mpya

Jamaa: Umevaa nini?

Mie: [emoji849] suruali na t-shirt

Jamaa: kwani kuna baridi? Natamani nije nikuvue

Mie: [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

***Kiukweli wengi ni pumba tu hawana la maana kila siku maswali hayo hayo , salamu inajirudia mara mia.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demi wewe..umenifanya nicomment pasi kupenda..[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Hello mdada....mambo yako ikoje.

Dhumuni la hii qoute ni kukutongoza.

Naomba unijibu haraka.
 
Back
Top Bottom