Nitapindua meza kibabe, mbona nachatigi nae sana PM kwahyo anatuchanganya???Mpende tu, ila nitakapo kugeuza ndafu, nduguzo wataelewa ule msemo wetu Waswahili usemao "Mchumia janga hulia na nduguze" au kama tunavyosema sisi Waswahili.
Ahsante.
Nitapindua meza kibabe, mbona nachatigi nae sana PM kwahyo anatuchanganya???
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa.
Mbona unawatag weng sana, sasa yupi ni yupiMichael Richard sijui kutania...
Unapatikana "MOGADISHU".Zurri njoo utoe jibu.
[emoji3][emoji3] leo nipo na mood hiyo..alafu nawewe unanifanya nicomment muone.
Poa.
Mimi naitwa Michael Richard? Ndio maana naona unanitag hivyo? Hauna jina langu inamaana???Huyo Michael Richard si wewe au hujui hata majina yako?
Umemaliza wife, asipokuelewa nistue.Bila ruhusa yake siwezi kutoa jibu