Wananiringia hadi kuniquote itakua PM?Mkuu wavumilie lakini watakujibu.. subira inalipa usipende kuwahisha mambo
Sasa sijui kama sina vigezo sina haki ya kuwa na mapendekezo yangu au lah.
I got it, Nitajuaje kama nina vigezo?Yes, iko hivyo kwenye maisha.
Kwamba bureaucracies zinategemea na umuhimu wa ofisi.
Kama siyo muhimu sana zitakuwa fupi, lakini kama ni muhimu zitakuwa na mlolongo mrefu.
It is as good as asking, "Are you worth the hustle?"
I got it, Nitajuaje kama nina vigezo?
Asante kwa ufafanuzi Don.Kila mtu anaijua thamani yake, na anajua ni nani au aina gani ya watu wanaomstahili.
Mfano mdogo ni level ya elimu, kuna level fulani ukishafika automatically utataka kukaa meza moja na watu wa level sawa au zaidi yako ili muwe na common discussion (one language).
Au in corporate au business level, ukishafika level fulani ya achievement, automatically utakaa kukutana na watu wa level yako au zaidi.
Hii ni kuepuka yale maswala ya intimidation, kwamba uko na mtu ambaye umemzidi sana kiasi kwamba muda wowote hajiamini kama yuko na wewe, nk.
Sometimes hivyo vyote siyo lazima viwepo, ila as human being unakuwa na standards zako, kwamba nahitaji watu au mtu wa namna hii. Na overtime kama uko consistent tayari ile inapita na watu wanakukubali kwa standards hizo.
NOTE: Hapo nimejibu kwa mtazamo wangu.
Asante kwa ufafanuzi Don.
Ngoja nifanye tathmin ya thamani yangu.
Labda baada ya hii tathmini ndio nitaanza kujibu. Ila mimi ni mvivu tuu wa ku-chat.Hahaha, dah. Naona kabisa jinsi ambavyo PM yangu haitajibiwa siku nikija PM baada ya hii tathmini.
Mambo..Labda baada ya hii tathmini ndio nitaanza kujibu. Ila mimi ni mvivu tuu wa ku-chat.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata siwalaumu kutokukujibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Noel
Labda baada ya hii tathmini ndio nitaanza kujibu. Ila mimi ni mvivu tuu wa ku-chat.
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.
Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Bora umeniunga mkono. Nilishaanza kuji-feel down nikahisi nina tatizo Noel.Sema Paula nakuunga mkono, mimi ni mwanaume lakini sipendi mtu awe hana story au analeta story hazina kichwa wala miguu.
Hawa vijana wetu inabidi wajifunze hata pickup lines. Unamfanya kwanza atabasamu halafu mdogo mdogo unapeleka matatizo yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ni kweli, ikiisha hiyo topic ndio basi tena. Nahisi hili ni tatizo langu, hata hivo kila mtu ana madhaifu yake.Huwezi kuibuka tu kuanza ku-chat bila sababu, labda kuwe na topic husika, nayo ikiisha chat inakata.
Chat zenyewe ndo kama zile za Khantwe za, "Mambo", "Niambie", "Upo", "Lete story"...
Pendael, utaanza kunitumia "Mambo"? Nijibu baada ya 3hrs "poa vipi". Wakati huo umelala, baada ya masaa matano unijibu "fresh za huko" wakati huo nimelala..inakatisha tamaa.Inategemea mtu ana lengo gani kukutumia ujumbe,kama ni kuhitaji msaada mimi naenda moja kwa moja kwenye lengo.
Lakini kama ninakupenda lazima nianzie mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ni kweli, ikiisha hiyo topic ndio basi tena. Nahisi hili ni tatizo langu, hata hivo kila mtu ana madhaifu yake.