Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Kwamba????Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaNilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sijui huwa wana maana gani etiHaha
Kuna ID ya mwaka 2015 inaniPM ukiicheck haina msg wala reaction score (mtu wa dizain hii napotezea
Mwingine ye kila siku anaanzisha conversation mpya na kila convo ni salamu kisha anapotea hadi siku nyingine anakuj na convo mpya tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja PM
[/QUOTE
Hataki mi-CCM
Wanasababisha mtu uhisi labda ni ID fulani kongwe/famous tu imekuja kunichora 😀😀 kuna mmoja nikamwambia nimezichoka salamu zako nenda straight to the point kwani alirudi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, mimi hajanitumia pm.
Pendael, utaanza kunitumia "Mambo"? Nijibu baada ya 3hrs "poa vipi". Wakati huo umelala, baada ya masaa matano unijibu "fresh za huko" wakati huo nimelala..inakatisha tamaa.
HahahaWanasababisha mtu uhisi labda ni ID fulani kongwe/famous tu imekuja kunichora [emoji3][emoji3] kuna mmoja nikamwambia nimezichoka salamu zako nenda straight to the point kwani alirudi tena
Mbona unanisema huku jukwaani???🤣🤣🤣🤣🤣Haha
Kuna ID ya mwaka 2015 inaniPM ukiicheck haina msg wala reaction score (mtu wa dizain hii napotezea
Mwingine ye kila siku anaanzisha conversation mpya na kila convo ni salamu kisha anapotea hadi siku nyingine anakuj na convo mpya tena
Naskitika PM zangu hazijibiwi
Jamani mambo???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, mimi hajanitumia pm.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha
Kuna ID ya mwaka 2015 inaniPM ukiicheck haina msg wala reaction score (mtu wa dizain hii napotezea
Mwingine ye kila siku anaanzisha conversation mpya na kila convo ni salamu kisha anapotea hadi siku nyingine anakuj na convo mpya tena
Duuh!! 🤔🤔
Hizi za Kwenda moja kwa moja Kwenye mada sio nzuri Sana.Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.
Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Haha sio wewe banaMbona unanisema huku jukwaani???🤣🤣🤣🤣🤣
Pia wale expert wana katabia ka kuja na Id mpya mbili mbili..Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app