Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi sitapotea nitajibu kwantwe wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mtazamo wako, huwa naudhika sana mtu anakutumia message unamjibu kistaarabu then anapotea, inaonyesha wazi anakuwa ameamua kukuchezea tu. Fikiria vyovyote upendavyo ila mimi ndio nimeamua hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani mtu anavyo kusalimu unategemea maongezi yaendelee?

Pengine kujua uko poa inatosha tu.

Mambo?
 
Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye

Sent using Jamii Forums mobile app

Inabidi nifanye review ya PM zangu kwanza nione nilikuwa nakosea wapi.
 
sjajua unatumia JF web au JF app,,kama unatumia app asee mtu anaweza kukuPM leo afu msg ikakufikia kesho kutwa(in case ndo mara ya kwanza kuPM na huyo member). kwa hyo unakuta hata yule alokuPM hajaona msg yako uliyo reply na sio kwamba kakaa kmya No.

sasa tena kuna ishu ya JF app kutokuonesha notification asee inaboooohaaaaa[emoji53][emoji53][emoji54][emoji52][emoji52]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia tapatalk
 
Back
Top Bottom