Ushauri mwingine ni personal ss...Mmh! Bado sababu haijanishawishi Mkuu.
Maana kama unataka ushauri si uanzishe uzi halafu huyo unayemtarajia mtag basi ili apate kukushauri au ushauri wa majukwaani na Pm hauwi sawa?
Yani wanajitia siendi siendi. Sema pm kama chumbani. If walls could talk...hahaha
Ooh. Na hilo ndio lengo la wengi Mkuu.Sio kila jambo ni la kuanzishia uzi, mengine yanaishia tu PM na mengine ni faragha zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakatifu mxxiuuewKama kweli vile mnavyoandika
Mmmh....Ushauri mwingine ni personal ss...
eeeh babe [emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]Unakimbiliwa wapi bebi katikati ya bahari..?![emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakajuaMie nina kapicha kangu hako ndo nakatumia sasa hivi sasa kama mwenyewe yumo humu atamisamehe tu maana ndo nakatupia nkiombwa picha[emoji23][emoji23]
Nakazia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani wanajitia siendi siendi. Sema pm kama chumbani. If walls could talk...
Hahaaaa. Lol.Ushauri mwingine ni personal ss...
[emoji34][emoji58][emoji58]eeeh babe [emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
Sio kila faragha ni mambo yetu yale..... nyingine za kujengaOoh. Na hilo ndio lengo la wengi Mkuu.
Hizo faragha hizo. Teh
HahahahNjoo
[emoji23][emoji28][emoji23] hahahaYani wanajitia siendi siendi. Sema pm kama chumbani. If walls could talk...
Mm ba mkwe yangu ipo wazi nishazoea kusalimiwa mara 10 pm jamani mtu akiingia akitoka salamSasa mbona jibu lako sijaliona mama mkwe?
Usijali Mkuu.Sio kila faragha ni mambo yetu yale..... nyingine za kujenga
NakaziaUshauri mwingine ni personal ss...
Njoo na weweMmh!