Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Uhitaji wa haraka kama upi huo Mkuu?
Labda ufafanuzi wa jambo, Ujuzi wa kitu flani na umeona member ni mwelewa sana maeneo hayo sasa unaona ni busara kumfata PM unakuta imefungwa? labda mtu anahitaji msaada sio lazima aweke public

Kuna wengine wanahitaji ushauri na kashaona mhusika ni mtu mwenye busara na anaweza kumshauri vizuri, unakuta PM imefungwa. ni vizuri kubadili utaratibu maana kama ni usumbufu na mtaani mwasumbuliwa vile vile
 
Mmh! Bado sababu haijanishawishi Mkuu.

Maana kama unataka ushauri si uanzishe uzi halafu huyo unayemtarajia mtag basi ili apate kukushauri au ushauri wa majukwaani na Pm hauwi sawa?
 
Sio kila jambo ni la kuanzishia uzi, mengine yanaishia tu PM na mengine ni faragha zaidi
 
Haha sirudiagi tena kamwe kumfata mdada wa jf pm

Kuna sku nilimfataga mmoja hiv ahha sjui anajiitaga miss naniliu aisee wanawake wa jf wanahifadh sna bad memory zetu for future use niliishiwa kufululiwa makaburi hadi nikaomba poo
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom