Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdada anaefunga Pm hajiamini na inawezekana akawa mwajuma mlango wazi ukibisha hodi tu ndani, sasa ili kukwepa hilo anaona bora afunge tu maana mtu anaejiamini anajua hili yes hili no so hana haja ya kufunga PM. Jf wangetoa kwanza hii kitu wengine kuanza kuanzishiana thread humu kisa mtu unamkubali lakini kafunga PM unaamua kwenda public hatuwezi mnatupa tabu kweli[emoji38] [emoji38] [emoji38] .