Upi huo??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu huo msemo wako
Labda za wachache sanaa maana wengi wenu mmeweka mageti makubwa sanaZiko wazi jamani
Dah! Yaani hapo ndio anatongoza au mshatongozana ndio anakwambia hivyo? Lakini yote kwa yote kumuomba mwanamke picha za utupu ni ujinga, ulimbukeni na utotoMimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!🙁🙁🙁
Wa mashavu kama anapuliza moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikikumbuka nacheka sanaUpi huo??
Yangu ipoo wazi nifunge nigundue nini kipya kwa mfanoLabda za wachache sanaa maana wengi wenu mmeweka mageti makubwa sana
Wewe hujafunga sio?Ngoja waje ba mkwe wakujibu
Nimecheka sana Mzigua, jamaa alidhani una danga! Sasa ukamjibu nini?Mimi aliniambia mtu unachaji sh ngapi usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitii nenoYangu ipoo wazi nifunge nigundue nini kipya kwa mfano
We huchek. Halafu mtu aniambie you're beautiful. Unafki sio wa hapaWa mashavu kama anapuliza moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikikumbuka nacheka sana
Sijafunga kaka anguWewe hujafunga sio?
Nikamwambia tu aache ujinga na ndo siku nikafunga pmNimecheka sana Mzigua, jamaa alidhani una danga! Sasa ukamjibu nini?
Lakini kutongoza na kutongozwa haijawahi kua kero kwa jinsia hizi mbili, kero ni namna gani mwanaume anatongoza, wengine wanatuharibia sifa wanaume wote tunaonekana ndio walewaleWanaume wanatongoza tena kwa kero.
Nipo mkakamzigua upo mdada
Abeeh kaka angu mzuri mzuri kwani kuna habari gani za tabora si zimeishashunie upo dada
Kaka tenaaaSijafunga kaka angu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weka neno hata kidogo mkaka wa kinondoniSitii neno
Kutongoza kawaida tu sema wengine hawajui kutongozaLakini kutongoza na kutongozwa haijawahi kua kero kwa jinsia hizi mbili, kero ni namna gani mwanaume anatongoza, wengine wanatuharibia sifa wanaume wote tunaonekana ndio walewale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue yule mwanaume aliongea kinyume nimempenda sanaWe huchek. Halafu mtu aniambie you're beautiful. Unafki sio wa hapa