Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Mimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!🙁🙁🙁
Dah! Yaani hapo ndio anatongoza au mshatongozana ndio anakwambia hivyo? Lakini yote kwa yote kumuomba mwanamke picha za utupu ni ujinga, ulimbukeni na utoto
 
We huchek. Halafu mtu aniambie you're beautiful. Unafki sio wa hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue yule mwanaume aliongea kinyume nimempenda sana
 
Back
Top Bottom