Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Tena ww Mzigua90 nimekuja sana pm yako lkn umeitia makuta marefu mapana na mazito + magril utafikiri umehifadhi mkataba wa muungano wa jamhuri ya tanganyika na zanzibar bhana...... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naiacha wazi leo basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…