Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nimeuona halafu sinaga mazoea nae kabisa yule mtoto hata kuquotiana nae sijawahi hata thread zake huwa sichangii labda dog style alinikula ndotoniKilimo na ufugaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuona halafu sinaga mazoea nae kabisa yule mtoto hata kuquotiana nae sijawahi hata thread zake huwa sichangii labda dog style alinikula ndotoniKilimo na ufugaji
Uwoga wao tu kaka mbona zipo wazi[emoji120] Asante dada'angu, tuko pamoja.
Naona vijana wanalalamika pm zenu mnazifunga.
MfyuuuuuuuWeka picha
Na hivi ushamba ni mzigo inakuwa kama kile kiroba cha mwizi kilichoganda kichwaniNi ushamba huo lakini
KhaaaaaaaaaWoyoooo
Juice ya miwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unawajibu ndioNimetoka kuambiwa mi ni mwanaume sahiz
Mimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!🙁🙁🙁
Nafurahi kusikia hivyo shemNi salama kabisa shemela angu
Mm itanihusuHuyo mi nimemuignore maana nilishanusurika ban kwa ajili yake
Jamani kaka angu naomba helaHahah nafurahi kukuona..... huo ukaka kauanzisha leo hapa na mimi ndio nauona leo [emoji23]
NimeshampataYupoooo ebu mwangalie vizuri
Sasa usiombe ka under 25 kaje pmHahaha
Mie nina bahati nilikuwa napata wahega tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unawajibu ndio
Aya subiriJamani kaka angu naomba hela
AnaboaMm itanihusu
Tena ww Mzigua90 nimekuja sana pm yako lkn umeitia makuta marefu mapana na mazito + magril utafikiri umehifadhi mkataba wa muungano wa jamhuri ya tanganyika na zanzibar bhana...... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mi sikutaka tu mazoea maana napenda kuchat sasa mtu akija ntamjibu halafu akaleta umbea mwishoni nisutwr bure
Uhali gani weye?Nafurahi kusikia hivyo shem