Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Ndio mana nakupenda mie halafu tumewekeana tego waingie hapo wanase
hhah haaaa habari njema "" hii sasa Jamaa wamtaka Yule manzi wakati wajua kuwa umetegwa..wataka Dada wawatu "" afie kifuani au Davet..subiri kwanza mimi nipite kisha nawew ndio uendelee na kampeni zako..maana ukitangulia wewe waweza sababisha Dada wawatu kuganda bure "" mwisho wasiku utasababisha na mimi nikose utamu bure
 
hahaa sawa """ ngoja nikatie majungu kule ...maana huwenda watamuogopa na kuahamia..kwangu..na kwenda na ushahidi wa comment yako na i screenshot ili wajue kuwa Jamaa keshawahiwa....."" zamu yangu kutamba sasa"""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…