hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hhah haaaa habari njema "" hii sasa Jamaa wamtaka Yule manzi wakati wajua kuwa umetegwa..wataka Dada wawatu "" afie kifuani au Davet..subiri kwanza mimi nipite kisha nawew ndio uendelee na kampeni zako..maana ukitangulia wewe waweza sababisha Dada wawatu kuganda bure "" mwisho wasiku utasababisha na mimi nikose utamu bureNdio mana nakupenda mie halafu tumewekeana tego waingie hapo wanase