Ndio ukuje sasaSanaaaaaa
Ni kweli kaka.
Namiss enzi zile, ilikuwa full kujiachiaKwakweli Ila mm aliyeniletaga kapuku ni sakayo jamani
Usiku ugali sili youngNdio ukuje sasa
EeenhNamiss enzi zile, ilikuwa full kujiachia
Ntakuja mnz aiseeKaka. Nimewamiss mno indeed.
Kweli sijui, pwani na kanda ya ziwa wapi na wapi. Itakuwa siwajui kweli.Brother wewe pia hujui uono
Daah nawamiss sana wadauMakapuku ni zaidi ya familia jamani
Hahahahaaaaaa.....Nikuje kula usiku sili ugali nitaota ndoto za kutisha sana
Asee.... Msalimie sana jamani. Kaka, mzima wewe!?Manuu kawa mvivu sana huwa anasoma tu nakupitaa but ni mzima kabsaa
Vipi braza, umeshaanza kula niniiii!?Yap,watamu[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Usikimbie dadae.[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] sawa kaka
Ndio siku moja moja mkujeDaah nawamiss sana wadau
Hahhahah halafu alinileta kiutani tu tulikuwa mmu ananiambia shunie umeshawahi ingia makapuku nikamwambia wala nauonaga tu huo uzi akaniambia kaingie kuna baadhi ya wanaume wanaongea huko uwe makini kweli nikaingia mapokezi niliyoyakuta jamani ndio nikawa naingia kila sikuHongera nyingi kwa dada Sakayo kwa kukuleta kwa kweli.
Nakumbuka nilikuwa nafanya kazi mda mwingi akili inawaza jf. HahahaaaaNamiss enzi zile, ilikuwa full kujiachia