Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Hongera nyingi kwa dada Sakayo kwa kukuleta kwa kweli.
Hahhahah halafu alinileta kiutani tu tulikuwa mmu ananiambia shunie umeshawahi ingia makapuku nikamwambia wala nauonaga tu huo uzi akaniambia kaingie kuna baadhi ya wanaume wanaongea huko uwe makini kweli nikaingia mapokezi niliyoyakuta jamani ndio nikawa naingia kila siku
 
Back
Top Bottom