Eti nami hunifahamu[emoji12]Asante kaka angu tunakupenda sana sana wangu mule hatufahamiani lakini tupo kama familia kama tunajuana jamani
Wacha kabisaMmmh! Mwaka 2016 ilikuwa ni balaa.
Natamani kufahamu sakata gani [emoji57]Lile sakata langu na yeye lilimtia adabu, aliniudhi sana, baadae tulielewana
Hahhaha hata sijuiEti nami hunifahamu[emoji12]
Tena kipindi tunaanza ndo ilikuwa 'hot' [emoji91] tulitaka uzi ubaki juu mda wote.Asante kaka angu tunakupenda sana sana wangu mule hatufahamiani lakini tupo kama familia kama tunajuana jamani
Ila ilikuwa hivyoTena kipindi tunaanza ndo ilikuwa 'hot' [emoji91] tulitaka uzi ubaki juu mda wote.
Sijui kama bado yupo maana ni kitambo.Mm nilikuwa namwambia ukweli unavyofanya sio watu wakienda majukwaa mengine analalamika nilikuwa namwambia sio vizuri kingine kutupia wengine madongo namwambia unaharibu jukwaa hizo mambo tuachie sisi watoto wa wa kike kidogo kidogo alikuwa anabadilika
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahhahha yaan nafukuzwa sana
Najua atakuwa chanzo sometime ya kuwafanya watu waanze kutoka kimya kimya.Lile sakata langu na yeye lilimtia adabu, aliniudhi sana, baadae tulielewana
Woyooooooo niko nawasubiri jamaniBraza'angu SHAMMA ameshasikia, pamoja na Youngblood.
Hebu sema ukweli dadae.Hahhaha hata sijui
Hayupoooo katoka mda sana hata mwaka unakaribia akiingia anaingia kwa kubeep yupo busy anasema anashindwa post chochoteSijui kama bado yupo maana ni kitambo.
Alikuwa hapendi watu kutaniana hasa mapenzi kwani yeye hakubahatika kuwa na mpenzi, mimi nilipenda sana utani huo wa mapenzi kitendo ambacho kilimuudhi sana.Natamani kufahamu sakata gani [emoji57]
Huu ndio ukweli mchungu kuna siku nilimwambia ndio mana watu wanatoka huku sisi wengine ni ubishi wetu ndio mana tunakomaaNajua atakuwa chanzo sometime ya kuwafanya watu waanze kutoka kimya kimya.
Hahahha kweli kaka akeeHebu sema ukweli dadae.
Tulikuwa tumefanikisha mda wote. Makapuku niliipenda zaidi hasa pale tulipogawana majukumu ya kufanya kwa siku nzima, news, music, nukuu ya siku na mengineo yaliifanya Makapuku kujulikana na kila mtu jf.Ila ilikuwa hivyo
Ewaaaaa hata kwetu alikuwa anatuletea hii natamani Sakayo angekuwepo tukitaniana anaanza mambo zake tukamwambia sikiliza kama huna mtu wa kutaniana nae pambana na hali yako maisha lazima yaendane na mataniAlikuwa hapendi watu kutaniana hasa mapenzi kwani yeye hakubahatika kuwa na mpenzi, mimi nilipenda sana utani huo wa mapenzi kitendo ambacho kilimuudhi sana.
Siku moja alishindwa kuvumilia akaropoka na kunitamkia maneno ya kuudhi.
Huwezi amini jukwaa lote lilimgeuka na kumshambulia.
Alikuwepo
Youngblood, manuu, sumbai na wengine wengi.
Ilikuwa siku mbaya sana kf
DaaahTulikuwa tumefanikisha mda wote. Makapuku niliipenda zaidi hasa pale tulipogawana majukumu ya kufanya kwa siku nzima, news, music, nukuu ya siku na mengineo yaliifanya Makapuku kujulikana na kila mtu jf.
Kesho nitaanza mie.Woyooooooo niko nawasubiri jamani