Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Mm nilikuwa namwambia ukweli unavyofanya sio watu wakienda majukwaa mengine analalamika nilikuwa namwambia sio vizuri kingine kutupia wengine madongo namwambia unaharibu jukwaa hizo mambo tuachie sisi watoto wa wa kike kidogo kidogo alikuwa anabadilika
Sijui kama bado yupo maana ni kitambo.
 
Natamani kufahamu sakata gani [emoji57]
Alikuwa hapendi watu kutaniana hasa mapenzi kwani yeye hakubahatika kuwa na mpenzi, mimi nilipenda sana utani huo wa mapenzi kitendo ambacho kilimuudhi sana.
Siku moja alishindwa kuvumilia akaropoka na kunitamkia maneno ya kuudhi.
Huwezi amini jukwaa lote lilimgeuka na kumshambulia.
Alikuwepo
Youngblood, manuu, sumbai na wengine wengi.
Ilikuwa siku mbaya sana kf
 
Ila ilikuwa hivyo
Tulikuwa tumefanikisha mda wote. Makapuku niliipenda zaidi hasa pale tulipogawana majukumu ya kufanya kwa siku nzima, news, music, nukuu ya siku na mengineo yaliifanya Makapuku kujulikana na kila mtu jf.
 
Ewaaaaa hata kwetu alikuwa anatuletea hii natamani Sakayo angekuwepo tukitaniana anaanza mambo zake tukamwambia sikiliza kama huna mtu wa kutaniana nae pambana na hali yako maisha lazima yaendane na matani
 
Tulikuwa tumefanikisha mda wote. Makapuku niliipenda zaidi hasa pale tulipogawana majukumu ya kufanya kwa siku nzima, news, music, nukuu ya siku na mengineo yaliifanya Makapuku kujulikana na kila mtu jf.
Daaah
 
Back
Top Bottom