Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Hivi hadi sasa kuna watu wanahangaika na kutongoza mtandaoni halafu wakikataliwa wanakimbilia matusi?

[emoji2] Kweli kuna wengine tupo anga za TV bapa, kumbe wenzetu wapo TV za chogo tena zile black and white unazobadili chaneli kama unatafuta stesheni kwenye redio ya mbao
 
Back
Top Bottom