Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nahuja aje mwenyeweKupatwa kwa jinsia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nahuja aje mwenyeweKupatwa kwa jinsia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wastaarabu wapo kibao,wanajielewa na kujiheshimu.Wale sasa under 25 ndio tabu.Na saa nyingine unakuta ni mbaba tu na uhenga wale lakini maongezi yake inabidi uzime data kwanza ujifikirie
Umempa hela lakini?Hahah!! Ata sijui atataka kuninyima nini tu labda tumuulize
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Heheh shida hakuna
Ndio nani huyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nahuja aje mwenyewe
We ni nandy na ye ni billnas?Ndiwooooo ni kaka angu mie
Ndo hovyo kaka.Duh,nilikuwa sijui
Wenyeji mmepotea jamani kila siku wanakuja wapya ndio tupo nao msiwe mnapotea hivyo mpaka tunawasahauSi kule jukwaa la Makapuku.
Hapana badoUmempa hela lakini?
Sijui labda kiduduJamani kwani kaka angu alikuwa anataka nini
Hahahha halafu kwenye kulipa shida nipate mieOngea nae mpaka mwisho,kazia.Ukipata unigaie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We ni nandy na ye ni billnas?
Kama haujaiona bora aiseee lisaa limoja lililopita acha tuLini?
Siwakumbuki kiivyo dada, ila hata wewe pia ulikuwa ni mpya.Nani mpya
Aisee... [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Sijui labda kidudu
Sooon atapigwa usijaliAngepigwa ban ningekunywa soda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy weeeeUmempa hela lakini?
Ngoja nije makapuku siku moja kutembeaWenyeji mmepotea jamani kila siku wanakuja wapya ndio tupo nao msiwe mnapotea hivyo mpaka tunawasahau
Si ndio alioulizwa kuwa alijua ni mwanaumeNdio nani huyo?
Sijatembea mitaa mingine leo nikitoka narudi humu ata home likes sijafikaKama haujaiona bora aiseee lisaa limoja lililopita acha tu