Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
KhaaaaSooon atapigwa usijali
Umerudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KhaaaaSooon atapigwa usijali
Hata mi nilihisi atakuwa ni yeye huyoYule nahisi ni hr alishanisababishiaga life ban nikaomba mods wakanirudisha leo sakayo kanipigia sana kelele nitoke kabisa nahisi angenipa life ban nyingine
Hahahahaaaa..... Dada achana nae, hutakiwi hata kujibu chochote juu ya post ile.Jamani eti dogstyle woiiii labda alinikula ndotoni jamani
Halafu sina mazoea nae kabisa yaani sikumbuki kama nilishawahi kuquotiana nae hata thread zake sichangiagi kabisa aiseeeHakana adabu kabisa,siku moja kalinikera nilikasirika kweli
Uzi ulikuwa chit chat hukoMmm kwenye uzi gani?
Ntamcheck Max tutauona tu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefutwa mwenyewe nilikuwa sijui kurlzawa ndio kaja kuniambia huku
AiseeUmefutwa
Inshaalah!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipe basi
Sasa ni wakati mnaanza jamaniHapana dada, wakati tunaanza wote hamkuwepo kabisa hahahaaaa.....
Ngoja nimwabie na braza Youngblood awe anakuja.Uje jamani kaka akee tunawamiss mnoooo
Oooh huko kwenye likes nilindie mchumba angu Davethahaa asante "" Uzi wa kupeana likes ..jukwaa La siasa..na JI ndio vinanificha sana
SawaMbeya kuna matukio makubwa mawili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
Au ilikua ni siri?Bichwa lako [emoji3][emoji3][emoji3]
Jamani dada basi acha nitoke tuKhaaaa
Umerudi
sasa utapataje kazi mtu akitaka kukutafuta PM je?Bado
HahahaWastaarabu wapo kibao,wanajielewa na kujiheshimu.Wale sasa under 25 ndio tabu.Na saa nyingine unakuta ni mbaba tu na uhenga wale lakini maongezi yake inabidi uzime data kwanza ujifikirie
Sometime ku-smile kidogo dada.Hahhaha kaka angu jamani umefurahi mnooo