Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

hhah haaaa habari njema "" hii sasa Jamaa wamtaka Yule manzi wakati wajua kuwa umetegwa..wataka Dada wawatu "" afie kifuani au Davet..subiri kwanza mimi nipite kisha nawew ndio uendelee na kampeni zako..maana ukitangulia wewe waweza sababisha Dada wawatu kuganda bure "" mwisho wasiku utasababisha na mimi nikose utamu bure
[emoji23][emoji23][emoji23] duh
 
Back
Top Bottom