Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Mamaa badoo ndio usiseme watu wakaka wakule sjui ni mizimu na shetani
Anakutext jion ucku anataka pic ya utupu
Nilitoka bila ruhusa niliona nitapsuka kwa hasira
Badoo komesha
Sas dada ulikuja badoo kufanya nini??

Alaf unaeza kuta ni mimi ila nisameh tu ni shetan alinipitia
 
Back
Top Bottom