Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Hahhahah halafu alinileta kiutani tu tulikuwa mmu ananiambia shunie umeshawahi ingia makapuku nikamwambia wala nauonaga tu huo uzi akaniambia kaingie kuna baadhi ya wanaume wanaongea huko uwe makini kweli nikaingia mapokezi niliyoyakuta jamani ndio nikawa naingia kila siku
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Mbarikiwe sana, sema mkuu wetu kidogo nilikuwa namuona alikuwa na ka unafiki flani hivi. Mapema sana nilitaka kujitoa ila kaka SHAMMA akanikatalia kuondoka.
 
Mm nilikuwa namwambia ukweli unavyofanya sio watu wakienda majukwaa mengine analalamika nilikuwa namwambia sio vizuri kingine kutupia wengine madongo namwambia unaharibu jukwaa hizo mambo tuachie sisi watoto wa wa kike kidogo kidogo alikuwa anabadilika
 
Back
Top Bottom