Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Ngoja nikufundishe mbinu ya kibazazi siku moja uje unishukuru kaka yako...

Ukiona pisi yenye ID kali unaitumia PM, si lazima ajibu...

Hata akibadili ID mara mia, bazazi unakuwa na nyaraka ya siri tayari...
Unatoa siri za wapambanaji... watagoma kujibu.

Hebu ifute hii post fasta
 
dah siamini kama naweza au kunasiku naweza kutana na mwana jf awe ke au me hata kwa salaam tu kwa imani naona ni ngumu sana japo natamani.
 
Back
Top Bottom