kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
Toa tu maelezo ili tujue kipi ni kipi!😂😂😂 Ntaweza kutoa maelezo kweli? Tena na kingereza chako kilivyo kigumu ntaweza kukushawishi kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa tu maelezo ili tujue kipi ni kipi!😂😂😂 Ntaweza kutoa maelezo kweli? Tena na kingereza chako kilivyo kigumu ntaweza kukushawishi kweli?
Ahahaaaa nimecheka sanaMambo yasiwe mengi.
Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF.
Hapo sasa unaanza kujiuliza hivi huyu hawezi kuwa member wa zamani ambae niliwahi kumtongoza au kumchakata?
Jamani msibadili majina na mkibadili mtuambie ili tusiingie kwenye mtego.
Mfano hawa akina Palina Bantu Lady Makiwendo
To yeye n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahUnavowalia timing na wenyewe wanakulia timing hivo hivo, inaitwa butua nikubutue!
Jins ulivo kitombi na kuna wadada humu wanakigawa kama karanga daadeki! Hela ngumu mazee. Ila ni matumiz mabov ya jf kusaka pisi humu, umeshindwa platform wanazojianika sura na shape kabisa unakuja kutongoza id za ku download mshangaz miaka 50+ kaweka picha ya beyonce na wewe imoo [emoji23]
Wewe tena! tulia tulia.... Mambo mazuri hayataki haraka.Sema babe umenifungia PM hata siwezi kukuambia mambo mazuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao kina Mama Sabrina, Demiss, Miss Natafuta, Yna2, Nifah n.k na wengine wengi wamekuja kwa majina mapya baada ya kufumiliwa humu wanataka new members wawarukia kama visu vipya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe nna mpango wa kubadili soon, nahitaji boifrendi mpya kijana namba DZ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jambo linakujaaa. Naomba uwe upande wanguu. Uni motivatee.Wanafamilia Wangu wote wananifahamu na niliwaweka wazi kabisa labda kama wewe si.
Bora nivobadili nimepumua na michambo ya humu na zile cc hata baada yaile skendo kwakweli! Nyieeeee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ila kweli bana jirani badili avatar! au hadi tusign petition kwa ajili ya hili?? 😅Anaejua jinsi ya kubadili avatar akuje PM tafadhali...😊
Tunaitwaa wapiiiii, kanitagg em.Na nyie wavulana mnaolika mnaitwa kule
Jambo gani trena kipenzi!!??? Usijareee kabisa wewe teinaaah!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jambo linakujaaa. Naomba uwe upande wanguu. Uni motivatee.
Dada mic u uko town??Nimejaribu kusoma Uzi wako zaidi ya mara tatu nielewe ulichomaanisha ila sielewi...
Nikuulize!!!
Ulitaka kusema aje labda?
Na mtu kubadili ID unahusisha na nini?
Limekukuta jambooo shogaa mbogaaaa??Hongera sana mkuu!! Ukimpata mtu akatulia ni raha sana hata wewe unafeel pride!! Kashesheeee ukutane na vichomi pro [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Hahahaaa Nacheka kama mazuri uwiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! ( Sijamsema mtu jamani )
My boss Bantu Lady, mshahara wangu hujanilipa Mimi bodyguard wako. Alafu unataka utoe 500000 kizembe, so poaItaje DeepPond 😄😄😄😄 na ikiwa kweli nakutumia 500,000 cash kwa wakala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamanigi ila sasa sijui kubadilika. LolMnafanyaje kuchange Id?
Nikichange nitakuja kujitambulisha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMlolongo kachalii kadogo alimtongozaga wangari mathai ikatiki wakakubaliana wakutane Dar sehem flan. Dogo kasafir kutoka Arusha hadi. Kamngojea weee wangari hakutokezea akamuacha dogo kwenye mataa.
Dogo alimaindi akaja jamvin kumaliza hasira zake.
🤣🤣🤣🤣 Yashapitaa . Maisha lazima yaendelee 🤣🤣🤣🤣😂😂!!Limekukuta jambooo shogaa mbogaaaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tenaaaaa sasa.Jambo gani trena kipenzi!!??? Usijareee kabisa wewe teinaaah!!!
Tufanye mambo aunt 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamanigi ila sasa sijui kubadilika. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila shougaaaa nakupenda hujawahi kufail, unavojua kujifyatua akili, km hamna kilitokea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maisha lazima yaendelee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!