Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Kumbe humu kuna watu baadae wanakuja kujuana mpaka kulana!
Mlolongo kachalii kadogo alimtongozaga wangari mathai ikatiki wakakubaliana wakutane Dar sehem flan. Dogo kasafir kutoka Arusha hadi. Kamngojea weee wangari hakutokezea akamuacha dogo kwenye mataa.

Dogo alimaindi akaja jamvin kumaliza hasira zake.
 
Duh mkaldinyo we ni kwikwi joh
 
Hili la kutoa ID siwezi but yumo mmoja hapa ana bonge la avator Ila ukimuona daa🙌🙌🙌.
Ila hili la Binti Kiziwi kuwa Manzi wako namtaka alitolee maeleza haraka hapa
😂😂😂 Ntaweza kutoa maelezo kweli? Tena na kingereza chako kilivyo kigumu ntaweza kukushawishi kweli?
 
DEMBA halafu sijawahi kukuPM kabisa eenh 😊...

Sijui itakuaje siku umebadili aidii na ndio mtu mzima mwenzako nahitaji msaada wa karibu 😄😄
Mimi sibadili aidii mzee mwenzangu, sitaki misahau 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom