Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Ngoja nikufundishe mbinu ya kibazazi siku moja uje unishukuru kaka yako...

Ukiona pisi yenye ID kali unaitumia PM, si lazima ajibu...

Hata akibadili ID mara mia, bazazi unakuwa na nyaraka ya siri tayari...
Mzee mwenzangu kwenye moja na mbili 😂😂😂
 
Sema nini uzoefu wangu wa kuzama Pm Kabla ya kukutana na binti Kiziwi akanituliza. Wadada wengi maneno mengi humu ni sura za baba zao na shape za mwakaleli🏃🏃🏃. Yaani ukikutana nao utakimbia.
Wadada wazuri wanajijua na huwezi kuwakuta Wana vurugu humu jamvini. Chukueni hii kutoka kwangu. Ni Legend kwa kiasi chake.
Lakini mheshimiwa unapenda kunivurugia mambo!! ona sasa ona! And why huwa haunimention? 😅

Pisi humu ni za kumwaga sana usisage kunguni bwana!
 
La Quica please hebu toa ID yangu hapo, sijawahi badili ID since 2014 nilipojiunga JF.
Sitakaa nibadili, sina sababu ya kufanya hivyo. Miaka kadhaa hapo kati nilikuwa nikisoma, bila ya kucomment.

Hii isikufanye uone ni ID mpya.
Kaka yangu Pendaelli Ngalikihinja mkuje kunisaidia huku, nyie mnanijua vizuri je nimebadili?
La Quica unaniharibia kwa my man... muone kwanza bichwa lako ☻
hahahahaha
 
Back
Top Bottom