Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Mambo yasiwe mengi.

Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF.

Hapo sasa unaanza kujiuliza hivi huyu hawezi kuwa member wa zamani ambae niliwahi kumtongoza au kumchakata?

Jamani msibadili majina na mkibadili mtuambie ili tusiingie kwenye mtego.

Mfano hawa akina Palina Bantu Lady Makiwendo
To yeye n.k
Unajisumbua na wake za watu shauri ako.
 
Itaje DeepPond [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na ikiwa kweli nakutumia 500,000 cash kwa wakala.
Hebu Kumbuka vzur,
Mbona ulijitaja mwnyw Kwny comments za Uzi flani wa zaman (early 2010s) nilikua naupitia, kuna mdau alikuuliza ukajisema mwnyw na I'd yako ya Sasa unayotumia.

Ngoja niutafute afu Ntakutumia screenshot pm,niandalie muamala chap[emoji39]
 
DeepPond wewe. Hiyo ID si kwamba nimeibadili. Nilingia JF 2010. ID yenyewe kuna mtu wa ofisini aliijua. Nikaacha kuingia sikuwa nacomment ilikuwa kwaajili ya kusoma tu.

Baada ya miaka kadhaa nikawa nishaisahau huwezi amini.
Sasa ndiyo nikajisajili 2014 na kitu rahisi kukumbuka. Umeikosa hiyo hela 😂😂😂😂😂😂😂😂👋👋👋👋👋
 
Back
Top Bottom