Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Hannah anaishi Kigoma wewe unaongelea Sinza haha
Kwani Kigoma hadi Dar ni bei gani? Na je mtu wa Kigoma haruhusiwi kufika Daslam? Na je unajua nilikutana nae lini? Kama ni kabla ya yeye kwenda Kigoma wakati wewe hujamfahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…