Hahaha anataka umuone bab kubwaSee...! Nan anaelewa hizo hannesy... Kwa nin usiseme konyagi, au mzinga ili tuelewe wote.....
Emmyta mandazi bado unapika[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ikiwa mtu anaandika kitu kisicho na madhara kwa mtu mwingine sidhani kama kuna tatizo hapo. Waache waandike wanachojisikia.
Huwa siku zote naamini binadamu hatufanani hivyo watu wa hivyo wapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Emmyta mandazi bado unapika[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa. Bado napika kaka. Ila hapa yamenidodea leo nataka nirudi nayo nyumbani nitayapasha kesho niyauze tena.Emmyta mandazi bado unapika[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Usicheke mkuu...Kwani ni vibaya akipika maandazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko vizuri, kuna watu wanacheka eti nilivyosema hivyo...sasa kuuza mandazi kwani sio biashara?Hahahaaa. Bado napika kaka. Ila hapa yamenidodea leo nataka nirudi nayo nyumbani nitayapasha kesho niyauze tena.
Hapana... Nafurahia tu...Usicheke mkuu...Kwani ni vibaya akipika maandazi
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Stori inataka ushauri juu ya mpenzi mlevi ila taandikwa hivi
Jamani naomba ushauri ,tukitokea vacation zanzibar mimi na mpenzi wangu ghafla ameanza tabia ya ulevi yaani jana kanywa chupa 3 za hennessy hata gari akashindwa kuendesha ......
Hahahaa. Hakutegemea kusikia kitu kama hicho ndio sababu ameamua kucheka.Uko vizuri, kuna watu wanacheka eti nilivyosema hivyo...sasa kuuza mandazi kwani sio biashara?
walitegemea utakuwa labda wa Matawi ya Juu kumbe maisha ya kawaida tuHahahaa. Hakutegemea kusikia kitu kama hicho ndio sababu ameamua kucheka.
Hahahaaaaa.walitegemea utakuwa labda wa Matawi ya Juu kumbe maisha ya kawaida tu
ukiwaambia nadhani hawatakuaminiHahahaaaaa.
Hahahaaaa. Yaache tu kaka.ukiwaambia nadhani hawatakuamini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaki wateja waje kukuungishaHahahaaaa. Yaache tu kaka.
Utafanya watamani kujua kijiwe changu cha maandazi kilipo ujue. Hahahaaaaa.
Hahahaaa. Hapana aisee kaka nilionao wanatosha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaki wateja waje kukuungisha
Sawa Dada..kazi kwako[emoji12]Hahahaaa. Hapana aisee kaka nilionao wanatosha.
HahahahaaaaaSawa Dada..kazi kwako[emoji12]