Wanawake wa JF mnanipa raha

Wanawake wa JF mnanipa raha

Wasichana wengi wanaongoza kwa kuigiza maisha yao ktk mitandao ya kijamii tofauti na maisha yao halisi. Hata kama anajiweza kidogo kimaisha basi hilo shobo lake utasema anamiliki gorofa kumbe kivitz tu na single room kapanga.
 
Hahahaaa. Bado napika kaka. Ila hapa yamenidodea leo nataka nirudi nayo nyumbani nitayapasha kesho niyauze tena.
Uko vizuri, kuna watu wanacheka eti nilivyosema hivyo...sasa kuuza mandazi kwani sio biashara?
 
Stori inataka ushauri juu ya mpenzi mlevi ila taandikwa hivi

Jamani naomba ushauri ,tukitokea vacation zanzibar mimi na mpenzi wangu ghafla ameanza tabia ya ulevi yaani jana kanywa chupa 3 za hennessy hata gari akashindwa kuendesha ......
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Back
Top Bottom