Wanawake wa JF nisaidieni Kuwaelewa hawa wadada

Wanawake wa JF nisaidieni Kuwaelewa hawa wadada

Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi

1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake, na alibaki na msimamo huo basi nikapunguza mawasiliano lakini tangu wakati huo lazima atanitafuta kuanzisha chatting na mara nyingi ananiambia au ataonesha kuna mambo tumefanana au kufanya comparison jana alianzisha chat whatsapp anataka fahamu hadi umri wangu.

Kuna siku za nyuma niliwahi kukutana nae nikajaribu mkiss mkono na hakuonesha resistance yoyote. Hivi hii ndo Friend zone au nimeekwa for incase


2. Huyu hakuniambia hana boyfriend na nilipomwambia dhamira yangu hajawahi kunionesha au kuniambia hapana au ndio.

Nilipokuja gundua ana mtu wake nikaanza punguza mawasiliano lakini haiishi wiki hajanipigia simu kunijulia hali au kuniambia nipite ofisini kwake nikamtembelee au kumuona na anaficha kama ana mtu na nishawahi kumuuliza akaniambia hana mtu serious

kWeli nimeshindwa waelewa kabisa
As long as unawahudumia hata awe bibi amepata vitukuu vingi.
atakuita mpenzi wake tu
 
As long as unawahudumia hata awe bibi amepata vitukuu vingi.
atakuita mpenzi wake tu

Sijwahi kuwahudumia kwa choxhote wala kuniomba pesa kiasi chochote
 
Back
Top Bottom