Wanawake wa JF tukutane hapa

Nakutumia ya kwangu pm ila sasa na wewe ukianza kuniita Denzel Washington kama wanavyofanya wenzako haki tutagombana.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Huyu mm hanifikii hata kidogo .namkimbiza mbali sana .
 
Kaka RRONDO unamuona mama Sabrina anakuchokoza huku? Kaitoa wapi sijui hii picha yako.
Kumbe huyo Rrondo?sikujuaa
Picha yangu ni avatar yangu. Kama unamjua Paul Pogba ni pacha wangu. However nina picha nimepiga hapo hapo alipokaa huyo Dr, hapo ni Slipway ile njia unayopita kwenda kupanda boat za Bongoyo Island im sure its no coincidence umenitaja, una kesi ya kujibu.
 
Sisi tunaokaa na mabosi wa tanzania huku Dodoma kila saa tunapishana nao kama njugu na unajichagulia tu sema huwa wanajishaua sana na kitandani sifuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyo doctor nimemuelewa, sina tu frem ningeidownload niiprint....

Kuna jamaa humu dah story zake anavojisifiaga, anajionaga hb kuja kumuona jamani mmh kichwa kama embe!!!! Mbovuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo bwana wa kupeleka warembo china wakunyumba sio yule anayeanzia na herufi O
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…