agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
nawafahamu tu siwajuiiWataje basi tukusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nawafahamu tu siwajuiiWataje basi tukusaidie
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Nakutumia ya kwangu pm ila sasa na wewe ukianza kuniita Denzel Washington kama wanavyofanya wenzako haki tutagombana.
Ha ha ha sitaki foleni pmHujui unawanyima fursa watu,taja bana
Huyu mm hanifikii hata kidogo .namkimbiza mbali sana .Hivi kuna mwanamke humu ashakutana na mwanaume wa jf yuko hivi au anafanana hata kidogo ,au hata kumfikia huyu kaka ,,tuseme tu ukweli maana vidume vya humu kwa kujiona[emoji23][emoji23]havijambo
Tuseme tu ukweli wala tusifichane na msitaje id zao,,huyu mkaka ni Mtz kabisa anajiita dokta ulimwengu sasa sijajua kama ni mwanaume mashine ama la,,na nahisi muda si mrefu atawahiwa na kina wolper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mi huwa nikikutana na wa hivi lazima nigeuke kusafisha macho ,,mim sijawah kukutana na mwanaume wa jf,so semeni nyie [emoji23][emoji23] ,nje ya jf zamani kabla sijawa bibi niliwah kukutana na wawili kama huyu sasa wana vibamia vilivyotukuka Mungu hakupi vyote
View attachment 623985View attachment 623986
Kaka RRONDO unamuona mama Sabrina anakuchokoza huku? Kaitoa wapi sijui hii picha yako.
Picha yangu ni avatar yangu. Kama unamjua Paul Pogba ni pacha wangu. However nina picha nimepiga hapo hapo alipokaa huyo Dr, hapo ni Slipway ile njia unayopita kwenda kupanda boat za Bongoyo Island im sure its no coincidence umenitaja, una kesi ya kujibu.Kumbe huyo Rrondo?sikujuaa
Si nami nakupa bana,tunabadilishana mifumoHa ha ha sitaki foleni pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sisi tunaokaa na mabosi wa tanzania huku Dodoma kila saa tunapishana nao kama njugu na unajichagulia tu sema huwa wanajishaua sana na kitandani sifuri
If you don't mind unaweza ntajia tu ID zao pm mkuu.. vizuri kula na nduguzoNawafahamu kama watatu hivi, ni member humu na ni mahb hatari na wanajielewa sana. Huyo mmoja yuko kama mwarabu hivi, jamani kaka ni handsome huyo!! [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
HeehheheUnapenda mabaunsa au sio, muangalie dogo janja... misuli imekimbilia chini we endelea tuu kupenda vfua kama unatafuta mlinzi
Huyo ex gf mpenzi??? nikitaja acc yake ya insta lazima kuna mafisi humu yatakua yalishammezea mateNani huyo mtaje basi tukamuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo doctor nimemuelewa, sina tu frem ningeidownload niiprint....
Kuna jamaa humu dah story zake anavojisifiaga, anajionaga hb kuja kumuona jamani mmh kichwa kama embe!!!! Mbovuuuu
JomoniiiiiIf you don't mind unaweza ntajia tu ID zao pm mkuu.. vizuri kula na nduguzo
Na susa nakimbia kama sijaacha mtu humu.Uhamie huko mi nikiwa wapi?
Huyo bwana wa kupeleka warembo china wakunyumba sio yule anayeanzia na herufi OHamna huyo dada alikua anasoma chuo huku akazingua akapata bwana fulani maarufu sana kupelekaa warembo China basi bidada akajua ndo atakua mke akaenda China akakaa kama miezi sita akarudi yule bwana wa China akamuacha na huyo kaka akamuacha pia maskini. Sasa hivi yupo tu wamemkula mkula wanaume wa Dar wamemwacha..
Nakuja pmHuyo ex gf mpenzi??? nikitaja acc yake ya insta lazima kuna mafisi humu yatakua yalishammezea mate
Hahahahahaaa... huyo huyo wa kunyumbaHuyo bwana wa kupeleka warembo china wakunyumba sio yule anayeanzia na herufi O
Aisee yule bwana kajua kuwala halaf akiwapeleka hawarudii kuna rafiki yangu mmoja alipelekwa enzi hizo kipindi cha bbm tulikoma aisee mbona alivyorudishwa na mapenzi yaliisha na juzi nimesikia kaowa ila hajamuoa yule demu wa china aliyezaa nae mwenye duka mwananyamalaHahahahahaaa... huyo huyo wa kunyumba
Uu uzi wa wanawake na kilichonileta uku sijui nn!!siku ishaharibika