hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
mwanamke anamaansha nn anaposema hz boyfrnd z cute??....je inamaana sawa na neno" hb" o anakuwa anamaana nyngne??Andika basi vizuri
Yaaani akiona tu dem ana shape anamuita China.. hajamuoa M??? jamani kawala sana lakini acha aoe tu. Huyu shoga angu alirudi na nguo tu akamwambia atamtumia nauli arudi tena China ikawa kimoja... baba ana dhambi sana maana kajua kuwala.Aisee yule bwana kajua kuwala halaf akiwapeleka hawarudii kuna rafiki yangu mmoja alipelekwa enzi hizo kipindi cha bbm tulikoma aisee mbona alivyorudishwa na mapenzi yaliisha na juzi nimesikia kaowa ila hajamuoa yule demu wa china aliyezaa nae mwenye duka mwananyamala
Kawala sana mpaka bongo movie lulu nae alishawahi pelekwa china huyo rafiki yako ujue kama namuhisi kuna dem mmoja sio star alishampeleka anakaa mitaa flan ya sinza mbele mweupe hivii halaf ni mnyakiiYaaani akiona tu dem ana shape anamuita China.. hajamuoa M??? jamani kawala sana lakini acha aoe tu. Huyu shoga angu alirudi na nguo tu akamwambia atamtumia nauli arudi tena China ikawa kimoja... baba ana dhambi sana maana kajua kuwala.
Huyo doctor nimemuelewa, sina tu frem ningeidownload niiprint....
Kuna jamaa humu dah story zake anavojisifiaga, anajionaga hb kuja kumuona jamani mmh kichwa kama embe!!!! Mbovuuuu[/QUO
Anaanzia na O halafu jina la ubini linaishia na A? Kama ni huyo kajua kuwamaliza wadada wa mjiniAisee yule bwana kajua kuwala halaf akiwapeleka hawarudii kuna rafiki yangu mmoja alipelekwa enzi hizo kipindi cha bbm tulikoma aisee mbona alivyorudishwa na mapenzi yaliisha na juzi nimesikia kaowa ila hajamuoa yule demu wa china aliyezaa nae mwenye duka mwananyamala
Huyu mweupe pia ila ni mtu wa Arusha.. tena alivyopelekwaga M akajua jamani alitukanwa insta mbona alikoma.Kawala sana mpaka bongo movie lulu nae alishawahi pelekwa china huyo rafiki yako ujue kama namuhisi kuna dem mmoja sio star alishampeleka anakaa mitaa flan ya sinza mbele mweupe hivii halaf ni mnyakii
Mariam hajaolewa mashauzi yote yale
Basi atakuwa S [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mweupe pia ila ni mtu wa Arusha.. tena alivyopelekwaga M akajua jamani alitukanwa insta mbona alikoma.
polee mamiiiNilikutana na wa hivyo ila alichonifanya sina hamu nae
Nadhani anatumia uzuri wake kutapeli pesa wanawake
Huyo huyo mama kajua kuwala wadada wa mjini walio na majina na wasio na majinaAnaanzia na O halafu jina la ubini linaishia na A? Kama ni huyo kajua kuwamaliza wadada wa mjini
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] . Wakunyumba umenishinda haki.. huyu jina lake maarufu ni S ila ya kwenye vitabu ni G...Basi atakuwa S [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha yangu ni avatar yangu. Kama unamjua Paul Pogba ni pacha wangu. However nina picha nimepiga hapo hapo alipokaa huyo Dr, hapo ni Slipway ile njia unayopita kwenda kupanda boat za Bongoyo Island im sure its no coincidence umenitaja, una kesi ya kujibu.
Kumbe wamjua na wewe.. sema anashawishi nyie yani kama una moyo wa tamaa lazima ukaliwe..na kibaya nasikia anakula kotekoteAnaanzia na O halafu jina la ubini linaishia na A? Kama ni huyo kajua kuwamaliza wadada wa mjini
Huyo M alijua ataolewa alivyozaa alikua na mbwembwe, halafu huyo O nasikia ni mgonjwa kuna siku nilikua sehemu walikua wanamsema balaaHuyo huyo mama kajua kuwala wadada wa mjini walio na majina na wasio na majina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakunyumba ndio huyo huyo hilo jina la kwenye vitabu silijui nalijua linaloanzia na S huyu alijua kunyooshana na M woiiii nikikumbuka ligi yao mjini sihami[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] . Wakunyumba umenishinda haki.. huyu jina lake maarufu ni S ila ya kwenye vitabu ni G...
Lazima aisee maana alikua na mawe niliona jina lake katika list ya bashite naona ameshasolve hiyo kesu.Kumbe wamjua na wewe.. sema anashawishi nyie yani kama una moyo wa tamaa lazima ukaliwe..na kibaya nasikia anakula kotekote
Inawezekana kweli ana ngoma maana S alivyorudi bongo alikondeana na urembo ukaisja sema bado vijana wakawa wanendelea kujilipua tu. M nae alikuaga anajiona ndo wifeHuyo M alijua ataolewa alivyozaa alikua na mbwembwe, halafu huyo O nasikia ni mgonjwa kuna siku nilikua sehemu walikua wanamsema balaa
Hilo la ugonjwa mwenyewe nimelisikia mdaa ila M kujipa mpaka ubini wa mwanaume kawaje mpole sasa mwanaume sio ndg yako na huko china kwao kulivyo kwa unafki ni kusemana tu kuanzia donfang kuendeleaHuyo M alijua ataolewa alivyozaa alikua na mbwembwe, halafu huyo O nasikia ni mgonjwa kuna siku nilikua sehemu walikua wanamsema balaa
Mahela yale ya unga nahisi wakienda zaidi ya shopping hakuna hela ya maana ya kupewa zaidi ya dollar 500 au bukuKumbe wamjua na wewe.. sema anashawishi nyie yani kama una moyo wa tamaa lazima ukaliwe..na kibaya nasikia anakula kotekote