Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Aisee yule bwana kajua kuwala halaf akiwapeleka hawarudii kuna rafiki yangu mmoja alipelekwa enzi hizo kipindi cha bbm tulikoma aisee mbona alivyorudishwa na mapenzi yaliisha na juzi nimesikia kaowa ila hajamuoa yule demu wa china aliyezaa nae mwenye duka mwananyamala
Yaaani akiona tu dem ana shape anamuita China.. hajamuoa M??? jamani kawala sana lakini acha aoe tu. Huyu shoga angu alirudi na nguo tu akamwambia atamtumia nauli arudi tena China ikawa kimoja... baba ana dhambi sana maana kajua kuwala.
 
Kawala sana mpaka bongo movie lulu nae alishawahi pelekwa china huyo rafiki yako ujue kama namuhisi kuna dem mmoja sio star alishampeleka anakaa mitaa flan ya sinza mbele mweupe hivii halaf ni mnyakii

Mariam hajaolewa mashauzi yote yale
 
Aisee yule bwana kajua kuwala halaf akiwapeleka hawarudii kuna rafiki yangu mmoja alipelekwa enzi hizo kipindi cha bbm tulikoma aisee mbona alivyorudishwa na mapenzi yaliisha na juzi nimesikia kaowa ila hajamuoa yule demu wa china aliyezaa nae mwenye duka mwananyamala
Anaanzia na O halafu jina la ubini linaishia na A? Kama ni huyo kajua kuwamaliza wadada wa mjini
 
Kawala sana mpaka bongo movie lulu nae alishawahi pelekwa china huyo rafiki yako ujue kama namuhisi kuna dem mmoja sio star alishampeleka anakaa mitaa flan ya sinza mbele mweupe hivii halaf ni mnyakii

Mariam hajaolewa mashauzi yote yale
Huyu mweupe pia ila ni mtu wa Arusha.. tena alivyopelekwaga M akajua jamani alitukanwa insta mbona alikoma.
 
Wanaume wazuri humu wapo kuna mmoja nilishawahi muona picha yake sehemu ni mzuri
 
Hahaha, mimi ni dada yako mkubwa. Huwezi kufanya kesi na dada yako. Hebu pambana na mama Sabrina kwanza manake ile kesi ya kukosa mchumba sitaki kuisikia.

Kuhusu Sabrina, mtamleta nikae nae ili nipambane na baba yake asije akakuletea rabsha. Ole wako sasa
Picha yangu ni avatar yangu. Kama unamjua Paul Pogba ni pacha wangu. However nina picha nimepiga hapo hapo alipokaa huyo Dr, hapo ni Slipway ile njia unayopita kwenda kupanda boat za Bongoyo Island im sure its no coincidence umenitaja, una kesi ya kujibu.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] . Wakunyumba umenishinda haki.. huyu jina lake maarufu ni S ila ya kwenye vitabu ni G...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakunyumba ndio huyo huyo hilo jina la kwenye vitabu silijui nalijua linaloanzia na S huyu alijua kunyooshana na M woiiii nikikumbuka ligi yao mjini sihami
 
Kumbe wamjua na wewe.. sema anashawishi nyie yani kama una moyo wa tamaa lazima ukaliwe..na kibaya nasikia anakula kotekote
Lazima aisee maana alikua na mawe niliona jina lake katika list ya bashite naona ameshasolve hiyo kesu.
 
Huyo M alijua ataolewa alivyozaa alikua na mbwembwe, halafu huyo O nasikia ni mgonjwa kuna siku nilikua sehemu walikua wanamsema balaa
Inawezekana kweli ana ngoma maana S alivyorudi bongo alikondeana na urembo ukaisja sema bado vijana wakawa wanendelea kujilipua tu. M nae alikuaga anajiona ndo wife
 
Huyo M alijua ataolewa alivyozaa alikua na mbwembwe, halafu huyo O nasikia ni mgonjwa kuna siku nilikua sehemu walikua wanamsema balaa
Hilo la ugonjwa mwenyewe nimelisikia mdaa ila M kujipa mpaka ubini wa mwanaume kawaje mpole sasa mwanaume sio ndg yako na huko china kwao kulivyo kwa unafki ni kusemana tu kuanzia donfang kuendelea
 
Ha ha ha ha,,,unasemaje jf hakuna kama hawa na wengi wao huwafaham hata pcha zao??
 
Kumbe wamjua na wewe.. sema anashawishi nyie yani kama una moyo wa tamaa lazima ukaliwe..na kibaya nasikia anakula kotekote
Mahela yale ya unga nahisi wakienda zaidi ya shopping hakuna hela ya maana ya kupewa zaidi ya dollar 500 au buku
 
Back
Top Bottom