Akifuliaga anamrudia Ney.. kipindi alivyoachana na HN alirudi kwa Ney akampata yule mtoto wa UD akamuacha tena Ney, walivyoachana na yule mtoto wa UD akajirudisha tena kwa Ney. Ney nae ana mapenz sanaNimeshamjua sasa nae alihangaika kamuacha ney wee mwisho wa siku karudi na magoti
Mwisho iaS huyu ni Sam.....
Eti mbunge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Keshadata yule mbona
Hivi Maty anafanya nini china?na sasa yupo wapiHuwa nahisi wanaishi maisha ya tabu sana kule, sema huwa nakapenda ka matty pamoja uwehu wake
Nani huyo ade? Au K? Maana K aliachwa kwa aibu mnooo....Na yule demu wake wa mwisho kabla hajarudi kwa Ney nilijua atamuoa
Huyo mtoto wa UD alikuwa na mashauzi jamani alivyoachwa acha atukanwe sana halaf nilijua HN angeolewa si kwa mashauzi yaleAkifuliaga anamrudia Ney.. kipindi alivyoachana na HN alirudi kwa Ney akampata yule mtoto wa UD akamuacha tena Ney, walivyoachana na yule mtoto wa UD akajirudisha tena kwa Ney. Ney nae ana mapenz sana
Msingi Pmamii...... nahisi kama hayupo China basi MacauHivi Maty anafanya nini china?na sasa yupo wapi
China ni kujiuza tuuuHivi Maty anafanya nini china?na sasa yupo wapi
Nqkumbukaa huyu kaka enzi zake kwa sinta kila mtu anamtaka,,,hivi bado ana pesa kama zamani naona kamrudia Ney na mahaba moto motoo,,yale magari bado yapo?naona anaimba bongofleva siku hizi pesa hizi[emoji23][emoji23][emoji23]R yule kaka mweupe mfupi amezaa na Ney.....
Alikuwa anamuita kibokobyangu sio adeNani huyo ade? Au K? Maana K aliachwa kwa aibu mnooo....
Halaf nyimbo mbayaaaaaNqkumbukaa huyu kaka enzi zake kwa sinta kila mtu anamtaka,,,hivi bado ana pesa kama zamani naona kamrudia Ney na mahaba moto motoo,,yale magari bado yapo?naona anaimba bongofleva siku hizi pesa hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka sana Tid ana vituko ,TID na gigy ni pasua kichwa ,,Nilishangaa mnyama anamsema prez.. asitembee bila kinga na l...wakati yeye mwenyewe yule she... kapita na S baadae ndiyo akazaa nae.
K huyo, ila aliniudhi sana K kwenda kwa R yaani na uzuri wote ule dooh akaenda kujichoresha paleAlikuwa anamuita kibokobyangu sio ade
Ha ha ha usife bana fatilia tu umbeaMi mpaka nataka kufa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanza umefuata nn huku wakt we sio mwanamkeKwa hiyo mimi mchunga n'gombe ndiyo sina langu daah acha nihamie badoo.[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nipe ubuyu hebuAisee yule bwana kajua kuwala halaf akiwapeleka hawarudii kuna rafiki yangu mmoja alipelekwa enzi hizo kipindi cha bbm tulikoma aisee mbona alivyorudishwa na mapenzi yaliisha na juzi nimesikia kaowa ila hajamuoa yule demu wa china aliyezaa nae mwenye duka mwananyamala
Ha ha ha mnyama alikua anatafuta kikiNilicheka sana Tid ana vituko ,TID na gigy ni pasua kichwa ,,
Eeeeeeewaaaaaa... ko ye ndo ana mimba wanyumbani???Mwisho ia
Hivi kipindi ile video inavuja yule binti anacheza mziki room kwa Rummy ndio amber lulu ee?R kafulia nae, na akifulia ndo anajifanyaga anampenda Ney... yule nae kawatafuna jamani daaah..
Yaani nikiona nyimbo zake nazima TV mpxiuuu nyimbo si nyimbo makelele tuHalaf nyimbo mbayaaaaa