Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Akifuliaga anamrudia Ney.. kipindi alivyoachana na HN alirudi kwa Ney akampata yule mtoto wa UD akamuacha tena Ney, walivyoachana na yule mtoto wa UD akajirudisha tena kwa Ney. Ney nae ana mapenz sanaNimeshamjua sasa nae alihangaika kamuacha ney wee mwisho wa siku karudi na magoti