Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Nimeshamjua sasa nae alihangaika kamuacha ney wee mwisho wa siku karudi na magoti
Akifuliaga anamrudia Ney.. kipindi alivyoachana na HN alirudi kwa Ney akampata yule mtoto wa UD akamuacha tena Ney, walivyoachana na yule mtoto wa UD akajirudisha tena kwa Ney. Ney nae ana mapenz sana
 
Huyo mtoto wa UD alikuwa na mashauzi jamani alivyoachwa acha atukanwe sana halaf nilijua HN angeolewa si kwa mashauzi yale
 
R yule kaka mweupe mfupi amezaa na Ney.....
Nqkumbukaa huyu kaka enzi zake kwa sinta kila mtu anamtaka,,,hivi bado ana pesa kama zamani naona kamrudia Ney na mahaba moto motoo,,yale magari bado yapo?naona anaimba bongofleva siku hizi pesa hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee yule bwana kajua kuwala halaf akiwapeleka hawarudii kuna rafiki yangu mmoja alipelekwa enzi hizo kipindi cha bbm tulikoma aisee mbona alivyorudishwa na mapenzi yaliisha na juzi nimesikia kaowa ila hajamuoa yule demu wa china aliyezaa nae mwenye duka mwananyamala
Nipe ubuyu hebu
 
Back
Top Bottom