Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

af3f15ba85d797db8d565db3fa339f73.jpg

Mimi wananiita moran
Subiria mzungu wewe
 
Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
Asikwambie mtu silaha yao kubwa u handsome bila hivyo wasingekuwa Na warembo mm nimeshawazoea huwa nawapita tu kama siwajui
 
Mtu anaringia alichonacho, huwataki kabisa ila wanapendwa hao
 
Mmh sijui niseme nn, nakwambia jf kuna kila sample, yaan nilikutana na mkaka kwanza sijui nielezee vipi, upstairs yuko vizuri kinoma mcheshi, mrefu, mweusi zile rangi tunazozipenda, macare flani hivi ahaaa msomi kasoma mpaka mwisho wa reli, mm na kidegree changu cha kolomije najiona nyooo!
My dia wakaka unaowawaza kichwani wapo jf ila jinsi ya kukutana nao ni ngumu sana. Alinitafutaga nimfanyie kitu kutokana na sehemu nilivyo comment, kumjua sasa ilikuwa ni mbinde sana tena sana. Nilivyomjua nikaishia kutoa udenda.

Muda ukifikaga nitakuja kuleta hapa Uzi

Teh teh teh L.......ce baby.
 
Mmh sijui niseme nn, nakwambia jf kuna kila sample, yaan nilikutana na mkaka kwanza sijui nielezee vipi, upstairs yuko vizuri kinoma mcheshi, mrefu, mweusi zile rangi tunazozipenda, macare flani hivi ahaaa msomi kasoma mpaka mwisho wa reli, mm na kidegree changu cha kolomije najiona nyooo!
My dia wakaka unaowawaza kichwani wapo jf ila jinsi ya kukutana nao ni ngumu sana. Alinitafutaga nimfanyie kitu kutokana na sehemu nilivyo comment, kumjua sasa ulikuwa ni mbinde sana tena sana. Nilivyomjua nikaishia kutoa udenda.

Mda ukifikaga nitakuja kuleta hapa Uzi
Ehee sasa malizia alikula vitu
 
Mzimikie tu maana hamna namna.
Na kadi usitusahau
 
Back
Top Bottom