Wanawake wa JF tukutane hapa

Yule mwanamke hapana jaman na anaweza kupretend unaona mke huyu hapa
Ni bingwa wa kuigiza.. kuna siku niliwaona na CK jamani kajitanda ushungi utasema mwislam swafi. Nikamuuliza CK kwahiyo ndo unaoa hapa akasema huyu mwanamke katulia tofauti na wengine blah blah.. sijui walitibuana nini
 
Namjua si yule alozaa nae?? yule kaka kateswa sana na Naima. Naona keshamsahau sasa hivi maana Naima alikua anaenda kulala na wanaume yule kaka anaambiwa anaenda kumchukua Naima anamgomea kabisa
Huyo huyo alimuoa kabisa alimchukua mtoto kumlea toka yupo mdogo sana jaman vituko tulikua tunaona sisi wafanyakazi tukiingia usiku naima anakuja kuchukua hela usiku yupo na wanaume kipindi hiko mwanaume yupo dubai naima kashindikana
 
Ni bingwa wa kuigiza.. kuna siku niliwaona na CK jamani kajitanda ushungi utasema mwislam swafi. Nikamuuliza CK kwahiyo ndo unaoa hapa akasema huyu mwanamke katulia tofauti na wengine blah blah.. sijui walitibuana nini
Ha ha ha haukucheka kweli? Watoto wa mjini huwa wananifurahisha sana! wanajua kupretend balaa
 
Mkaka tu naona sio wa mjini nimeona picha anaonekana hajui habari yoyote ya S
Masikini usikute anaweza kumtuliza ila shoga akipenda huwa anabadili ubini nashangaa sasa hivi jina alijabadilishwa
 
Huyo huyo alimuoa kabisa alimchukua mtoto kumlea toka yupo mdogo sana jaman vituko tulikua tunaona sisi wafanyakazi tukiingia usiku naima anakuja kuchukua hela usiku yupo na wanaume kipindi hiko mwanaume yupo dubai naima kashindikana
kashindikana sio kidogo eti..
 
Yule alikua HB afu ana rangi flani amazing sana...I thought angekua na udhaifu kw bed ila alikua anapiga show za maana hadi najikuta sayari yà Jupiter lol
Wacha weeee!!!

Kuna mkaka aliwahi nipenda enzi hizo yule mkaka alikuwa maarufu mji ule na alikuwa HB Kweli kweli kiasi kwamba nilimwambia kwamba sifanani nae mkaka anaishi kistar mi nipo uswahilini lkn hakuchoka story ilienea shule nzima bhana kapeace ndo kipenzi cha fulani sekeseke nilopata sitasahau wanaume wazuri tangu wakati huo mudi yangu kwao ilikata
 
Boss yupi huyo? Kabla hajakutana na CK? Hivi na manyika alifunga nae ndoa kweli au mbwembwe tu?
Hapana boss wetu sisi ndio mtoto wake aliyemuoa naima kipindi hiko naima anatokea kwenye video ya mbagala kadogo hiviii
 
Ha ha ha haukucheka kweli? Watoto wa mjini huwa wananifurahisha sana! wanajua kupretend balaa
Nilicheka tu nikamwambia hongera kaka maana hilo ni bomu umejivika jiandae litakulipukia dakika yoyote akasema eti we hujui tu katulia sana Naima.. sema hata Naima alimpendaga CK.
 
Bora ka- move on kwa mambo anayoyafanya Naima angejichokea tu
Ila alikuwa anampenda jaman alikuwa anavumilia mauchafu yote ya naima yaan naima alikuwa hampendi kabisa saad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…