Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Bora ka- move on kwa mambo anayoyafanya Naima angejichokea tuAlikua mume wake wa ndoa, hiyo kabla hajakutana na CK.. yule kaka alishawahi kwenda kumuomba CK amuachie mke wake. Manyika itakua mbwembwe tu