Hongera yakoUsijali one day yes.
Mimi nishawahi kukutana.
Bongo movie wanammezea mate looJamani jamani huyu kaka sio Tabia nzuri kabisa kwakweli. Hebu ngoja kwanza nimalize kumtazama nitachangia mada.
Weka pichaAmefanana na kaka mmoja hivi ila yeye kafupii na kitambi juu[emoji85] [emoji85]
Subiria mzungu wewe
Mimi wananiita moran
Asikwambie mtu silaha yao kubwa u handsome bila hivyo wasingekuwa Na warembo mm nimeshawazoea huwa nawapita tu kama siwajuiAhahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
Tujue kama wapo humuLengo ni nini hasa!
Mtu anaringia alichonacho, huwataki kabisa ila wanapendwa haoAsikwambie mtu silaha yao kubwa u handsome bila hivyo wasingekuwa Na warembo mm nimeshawazoea huwa nawapita tu kama siwajui
AhsanteHongera yako
Ooooh nilikuwa sijaelewa but I hope wapo humu tena wakutoshaTujue kama wapo humu
Hahahaaa!! Sio vizuri jamani, anaweza akawa ni member humu alafu akanibarasa.Weka picha
Duh, quote ya kwanza tu kibano! Kumbe TX Moshi hakukosea alipoimba 'ukizaliwa mwanaume we ujue kila kitu kwako kitakuwa ni taabu'! Ngoja nibadili mbinuAcha kukariri
Ehee sasa malizia alikula vituMmh sijui niseme nn, nakwambia jf kuna kila sample, yaan nilikutana na mkaka kwanza sijui nielezee vipi, upstairs yuko vizuri kinoma mcheshi, mrefu, mweusi zile rangi tunazozipenda, macare flani hivi ahaaa msomi kasoma mpaka mwisho wa reli, mm na kidegree changu cha kolomije najiona nyooo!
My dia wakaka unaowawaza kichwani wapo jf ila jinsi ya kukutana nao ni ngumu sana. Alinitafutaga nimfanyie kitu kutokana na sehemu nilivyo comment, kumjua sasa ulikuwa ni mbinde sana tena sana. Nilivyomjua nikaishia kutoa udenda.
Mda ukifikaga nitakuja kuleta hapa Uzi
Basi sawaaHahahaaa!! Sio vizuri jamani, anaweza akawa ni member humu alafu akanibarasa.
Mzimikie tu maana hamna namna.Mmh sijui niseme nn, nakwambia jf kuna kila sample, yaan nilikutana na mkaka kwanza sijui nielezee vipi, upstairs yuko vizuri kinoma mcheshi, mrefu, mweusi zile rangi tunazozipenda, macare flani hivi ahaaa msomi kasoma mpaka mwisho wa reli, mm na kidegree changu cha kolomije najiona nyooo!
My dia wakaka unaowawaza kichwani wapo jf ila jinsi ya kukutana nao ni ngumu sana. Alinitafutaga nimfanyie kitu kutokana na sehemu nilivyo comment, kumjua sasa ulikuwa ni mbinde sana tena sana. Nilivyomjua nikaishia kutoa udenda.
Mda ukifikaga nitakuja kuleta hapa Uzi
Wewe halaf nakusakaWanawake bhana mna kazi sana, ni kipi kilichokuvutia hasa