Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

samahani kwa kuwaingilia nyie wanawake, nauliza tu! mwanaume mchachu ndio yupoje?


kuna wanaume wana sura ngumu ! mie ndo huwa nawafeel !sijui niseme kama nani ! dah we elewa sura ngumu yaan ht akikukumatia unajua kbs hii sio jinsia yangu mrad awe smart !
 
hahaahh !mie mwenzenu mapenzi nayachukulia angle nyinginee!

men akijua mke anataka nn au mwanamke wake anataka nn automatic mie naridhika hizo machine ni extra tu
Kinu kama hakitwangwi ipasavyo wadudu si watanyevuanyevua
 
Back
Top Bottom