Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
nikajua wanawake wengi jf ni group bamia...asa wewe unataka sura au kazi kazi kitandani
 
Hahaha, mimi ni dada yako mkubwa. Huwezi kufanya kesi na dada yako. Hebu pambana na mama Sabrina kwanza manake ile kesi ya kukosa mchumba sitaki kuisikia.

Kuhusu Sabrina, mtamleta nikae nae ili nipambane na baba yake asije akakuletea rabsha. Ole wako sasa
Ahahahhaahahah
 
Back
Top Bottom