mashoodjr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2016
- 2,222
- 1,509
Wee unaangalia mwanaume sura? naona jamaa anashindana na nyie kwa kujilemba.Angalia vyema mwili wake,sura so haba aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee unaangalia mwanaume sura? naona jamaa anashindana na nyie kwa kujilemba.Angalia vyema mwili wake,sura so haba aisee
Ukitaka kujua thamani ya kupitisha hicho kichwa, cheki ndoa ambayo haina Mtoto... ByeMmhh! Ukipitisha kichwa jidai hukohuko na aliyekutia hizo mbegu maana thamani yake hiyo pitisha kichwa anaijua mhusika, ndiyo maana mkizaa kuolewa inakuwa nasibu..
We ungemuuliza bila kichwa kupita yeye angekuwepo Leo kweliUkitaka kujua thamani ya kupitisha hicho kichwa, cheki ndoa ambayo haina Mtoto... Bye
ThanksGood morning....
have a nice sunday Sakayo....
Baki ivoivo na nisikuone pm tenaMnato unatoka wapi dogo kaipasua, mtia mimba ndiyo anaelewa thamani ya papuchi iliyopitisha kichwa maana effects anaziona ila kidume mimi nifurahie wewe kupitisha papuchi kwa lipi..
Huuhuhuh..! Jamani kapeace mbona unaogopa kuchallenjiwa pole pm lazima nikuje, wewe tena.Baki ivoivo na nisikuone pm tena
Ishapitisha bichwa km tano,Huuhuhuh..! Jamani kapeace mbona unaogopa kuchallenjiwa pole pm lazima nikuje, wewe tena.
Umekula tayari😀😀😀😀😀
Njoo pm mamaHivi kuna mwanamke humu ashakutana na mwanaume wa jf yuko hivi au anafanana hata kidogo ,au hata kumfikia huyu kaka ,,tuseme tu ukweli maana vidume vya humu kwa kujiona[emoji23][emoji23]havijambo
Tuseme tu ukweli wala tusifichane na msitaje id zao,,huyu mkaka ni Mtz kabisa anajiita dokta ulimwengu sasa sijajua kama ni mwanaume mashine ama la,,na nahisi muda si mrefu atawahiwa na kina wolper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mi huwa nikikutana na wa hivi lazima nigeuke kusafisha macho ,,mim sijawah kukutana na mwanaume wa jf,so semeni nyie [emoji23][emoji23] ,nje ya jf zamani kabla sijawa bibi niliwah kukutana na wawili kama huyu sasa wana vibamia vilivyotukuka Mungu hakupi vyote
View attachment 623985View attachment 623986
Hahaha..! Nyie wadada wapuuzi sana aliyewambia mwanaume anasifiwa sura na hips nani, kidume ni mashine na pesa kwisha habari.Ishapitisha bichwa km tano,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baki ivoivo na nisikuone pm tena
Sijui niseme tu ukwelSheeeh.. Tabalaa
Ukweli gani tena mama.....Sijui niseme tu ukwel
Hapo sawa ila ukisema sijui bichwa ndo tunatofautiana mkuuHahaha..! Nyie wadada wapuuzi sana aliyewambia mwanaume anasifiwa sura na hips nani, kidume ni mashine na pesa kwisha habari.
[emoji85] [emoji85] naona aibuUkweli gani tena mama.....
Usije ukawa unataka kuniabisha tu mbele ya kadamnasi I'm only human.[emoji1]
Sema ebu.
Ebu njoo ndani[emoji85] [emoji85] naona aibu
Naja babeEbu njoo ndani
Nitaenda kujiuguzaa huhuhuhuh...! Ugomvi nje chumbani maelewano..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa nawachemsha kusikia povu linavyoruka 500kilometer.Hapo sawa ila ukisema sijui bichwa ndo tunatofautiana mkuu