Uchaguzi 2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.

Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
 
Mbeya, Tanzania

Kina Mama Wapo Mstari wa Mbele
Ukiona kina mama wameguswa sana basi ujue kuwa sasa mambo ni magumu sana kwa CCM Mpya 2020

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ