Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumegea siri , polisi wamechoka mno kutumikishwa .Polisi hawakuwepo?
karibu sana mjomba😂😂😂October Msema Kweli acha tuone mwisho wa Sarakasi hizi
haijalishi .Kwani kuchukua fomu bei gani
haijalishi .
Pamoja na Kudeki barabara na Mafuriko ya 2015 na Rais wa Mioyo yenu bado hamjifunzi?😂😂😂karibu sana mjomba
Kinachojalisha ni nini[emoji848]haijalishi .
aliyekudanganya polisi wanatumikishwa nani . ..waliokuambia waambie waache kazi , wengine wataajiriwa.Nakumegea siri , polisi wamechoka mno kutumikishwa .
Mbeya, Tanzania
Kina Mama Wapo Mstari wa Mbele
Ukiona kina mama wameguswa sana basi ujue kuwa sasa mambo ni magumu sana kwa CCM Mpya 2020
Karibu kamandaSugu moto chini aah, sugu moto chini aah
Halafu we unamtajaga Mungu kama mshikaji wako mnayevuta bangi pamoja😀😀Mungu ibariki Mbeya